Eng. Ngowi at MUST (Mbeya University of Science and Technology)

  • By tekadmin
  • December 24, 2015
  • Comments Off on Eng. Ngowi at MUST (Mbeya University of Science and Technology)

img1

Nilikuwa safarini Mbeya. Nilipata fursa ya kutoa mada kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 na nne Civil Engineering Mbeya University of Science and Technology (MUST). Niliwasilisha mada kuhusu vitabu vyangu vya Technologies are the Arts na A Modern and Practical Approach to Road Geometry. Ninamshukuru MUNGU mwitikio ulikuwa mkubwa sana kuliko nilivyotarajia. Wanafunzi na waalimu waligombania vitabu hivyo. Nilibaki ninatetemeka kwani sikutarajia. Vitabu havikutosha na vinatakiwa vitabu zaidi ya 35. Ninamshukuru sana mkuu wa idara ya Built Environment Eng Yazid, mwanafunzi Hokins Moshi , Mwenyekiti wa Civil Engineering Club mwanafunzi Shirima na Eng Lema aliyejiunga nasi na kuchangia mada. Pia ninawapongeza wanafunzi wa MUST mlioanzisha Civil Engineering Club kwa ajili ya kuanzisha club kwa maandalizi ya kukabiliana na changamoto za ajira. Civil Engineers Club ya MUST hukutana kila jumapili kujifunza softwares za Civil Engineers. Mkiendelea hivyo hamtapata shida ya kupata ajira mtakapo maliza masomo. Ninawashukuru kwa kunipa nafasi ya ulezi wa club. ENG NGOWI in workshopAHIMIDIWE YEYE AFANYAYE MAMBO MAKUU KULIKO TUWAZAYO AU TUOMBAYO KWA NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YETU

12356842_632583813548824_6269379082351554118_o

Categories: Uncategorized

Comments are closed.