Technology

Did you read my book namely Technologies are the arts?

Ooh, in Swahili language,

Mmesoma kitabu changu cha Teknolojia ni sanaa (Technologies are the arts?) Kitabu kinaelezea ni kwa nini waafrika hatumiliki teknolojia wakati wazungu wana miliki. Tatizo kubwa ni mtizamo fikra. Picha ninayoambatanisha inaonyesha shimo kubwa lililochimbwa na wajerumani wakati wa utawala wao, katika kujiridhisha kiwango cha makaa ya mawe huko Ludewa. Inasemekana walikuwa wakitafuta makaa kwa ajili ya kuendeshea meli katika vita kuu ya pili iliyoisha mwaka 1945. Waafrika tumefika hapo? Tafadhali tafuta klitabu changu cha Technologies are the artsvv

Categories: Uncategorized

Comments are closed.